Thursday, August 2, 2007

je wajua

hii ni blog

9 comments:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Bwana Godwin, asante kwa kujiunga na blogu yangu. Nami nategemea kuuona mchango wako hapa utakapokuwa umetulia na kuwa na muda. Asante sana na karibu tuendelee kubadilishana mawazo.

Yasinta Ngonyani said...

Hodi katika kibaraza hiki nimefika kukusalimu.

Mzee wa Changamoto said...

Naam. Nami nimewasili. Nasubiri iyakayokuwa. Just amazing

Mzee wa Taratibu said...

Tunangoja habari moto moto bro.

Simon Kitururu said...

Heri ya Krismasi Mkuu!

chib said...

Karibu tutakutakia heri ya krismas nyingine mkuu.

emu-three said...

Nami sijachelewa kupiha hodi kwenye kibaraza hiki,nimesikia umehamia huku kwetu, karibu sana, na siri ya ujirani ni kutembeleana au sio, karibu sana

emu-three said...

Karibu mkuu TUPO PAMOJA, LETE VITU!

Yasinta Ngonyani said...

Kaka Vipi UPO???